![]() |
Nyumba ya Mama Mshana-Njiro,Arusha-Tanzania. |
Pia nchi za Africa Mashariki .
Huduma tunayotoa ni kutengeneza milango ya aluminium, madirisha, office shelves, signboard, suspended ceiling na display.
Tunafanya kazi zetu muda wote.
Karibu tuwahudumie.
Kazi tunazofanya kwa wateja wetu, ni iwango kizuri sana. Pia tunafanya kazi kwa gharama ambazo wateja wetu tunakubaliana.
Picha hapo zinaonyesha baadhi ya kazi zilizofanywa kwa umahiri mkubwa ;
Kazi iliyokuwa inafanyika hapa ni kuweka
![]() |
Kifaru Oil-Arusha-Tanzania |
Madirisha na Milango ya aluminium.
Hii kazi ilifanywa na vijana wetu kwa kiwango kizuri.
No comments:
Post a Comment